SSZ Global Network ilianzishwa mwaka 2024 na ALMACHIUS MODEST NYAKAYANGO, anayejulikana zaidi kama Mr. Sam, ambaye ni mtaalamu mwenye uzoefu mkubwa katika teknolojia na biashara ya mtandao. Mr. Sam alianzisha SSZ Global Network kwa lengo la kutoa elimu bora na maelezo sahihi kuhusu jinsi ya kutengeneza pesa mtandaoni, kununua bidhaa kutoka China kwa ufanisi, na kutengeneza programu za Android na tovuti.
Karibu kwenye SSZ Global Network, jukwaa lako la kipekee linalokuongoza kwa njia bora za kutengeneza pesa kupitia mtandao. Tumejizatiti katika kukuza maarifa yako na kukuonyesha njia mbalimbali za kuboresha maisha yako kwa kutumia teknolojia na fursa zilizopo mtandaoni. SSZ ni kifupi cha SAM SHOP ZONE
Download application yetu ya SSZ GLOBAL ili Kupata taarifa, mafunzo na burudani mbali mbali
0 Comments